Karibu kwenye tovuti ya ufuatiliaji wa usambazaji wa vitabu vya shule ya msingi vilivyotokana na mradi wa “chenji ya rada”, kwa kifupi PESP. Tovuti hii inatoa taarifa ya idadi ya vitabu kwa kila somo vilivyopangwa kupelekwa kwa kila shule Tanzania bara. Taarifa zaidi kuhusu PESP utazipata kwa kubofya hapa.
Usambazaji vitabu kwenye ramani

Ukibofya ramani hii, utafunguka ukurasa wenye ramani ya Tanzania. Ramani itaonyesha taarifa za kina ugawaji na ufikaji wa vitabu vya shule kwa kila mkoa.

Tafuta usambazaji wa vitabu

 

Tafuta
Wachapishaji
 

Karibu kwenye tovuti ya ufuatiliaji wa usambazaji wa vitabu vya shule ya msingi vilivyotokana na mradi wa “chenji ya rada”, kwa kifupi PESP. Tovuti hii inatoa taarifa ya idadi ya vitabu kwa kila somo vilivyopangwa kupelekwa kwa kila shule Tanzania bara. Taarifa zaidi kuhusu PESP utazipata kwa kubofya hapa.
Primary Education Support Project (PESP) ni mradi wa miaka miwili (2011/12-2013/14).Mradi unatumia pesa ya BAE kununua na kusambaza vitabu na madawati kwa shule zote za msingi katika Tanzania Bara.

Kanda Mkoa
Wilaya Shule
Darasa Somo
 
Dondoo za Mradi
Malengo ya mradi kufikia mwisho wa mradi
Lengo : Kitabu uwiano kwa wanafunzi
  • Open Invoices 1:2 Masomo ya msingi
  • Active Members 1:6 Masomo mengine
  • Active Members 1:8 stadi za kazi, Haiba na michezo
  • Active Members 1:40 Muongozo wa SYLLABI , Muongozo wa walimu

Mpango wa mwaka 2012
Chanzo cha Takwimu : TAMISEMI


Takwimu za kitaifa zinaonyesha idadi ya shule na idadi ya wanafunzi, vitabu tarajiwa na vitabu vilivyofika
  • Monthly Income 20,883,632 Vitabu tarajiwa
  • Open Quotes< 19,143,361 Vitabu vilivyofika (91.7% )
  • Open Quotes< 8,016,118 Idadi ya wanafunzi
  • Open Invoices 15,352 Idadi ya shule


ARS : Arusha | DAR : Dar es Salaam | DOM : Dodoma | GTA : Geita | IRN : Iringa | KGR : Kagera | KTV : Katavi | KGM : Kigoma | KLM : Kilimanjaro | LND : Lindi | MNY : Manyara | MRA : Mara | MBY : Mbeya | MOR : Morogoro | MTW : Mtwara | MZA : Mwanza | NJB : Njombe | PWN : Pwani | RKW : Rukwa | RVM : Ruvuma | SHY : Shinyanga | SIM : Simiyu | SIN : Singida | TBR : Tabora | TNG : Tanga |

HABARI ZA VITABU VILIVYOFIKA